Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,
Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.
Habarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh. 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni 6,000,000 kwa riba ya 12% ilitakiwa kuwa jumla 6,720,000 cha ajabu pale kwenye jedwali kuna 6,341,251...
WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!
Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
WanaJF, nawasalimu nyote!
Ninaomba anayeijua vizuri tofauti iliyoko kati ya mifuko hiyo miwili anijuze!Ninaomba ninapofafanuliwa hilo nijibiwe maswali haya: UPI ni bora kuliko mwingine?Upi unamfaa mtu mwenye kipato cha cha chini kinachomwezesha kubaki na akiba ndani ya shilingi 30000/- kwa...
Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua.
Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii
1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?
Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
Anonymous
Thread
bad customer service
customer service
customer service utt
huduma kwa wateja
uttamis
Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
Ila UTT ni bonge la mchongo mwaka jana nimevunja kibubu changu cha chuma nikakuta m8 na usheee pesa nilijibanabana mwenyewe hamna kilichoongezaka,
Mwaka huu 15/05/2022 nikafungua account UTT nilianza na laki 5 na baada ya hapo nikaendelea na utaratibu kama naweka kwenye kibubu nikipata 10k au...
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu wa portfolio management , kuna wengine pia ni CFA Holders!
Kudos DSE this is good work, Tukutane...
Habari wakuu,
Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc.
Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe ufafanuzi zaidi?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.