Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100?
Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini?
Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida?
Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au...