hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
Maoni yangu tu kwa serikali na nchi yangu pendwa Tanzania.
Kumekua na Sintofahamu kubwa sana haswa kwa vijana wanaokesha mitandaoni, au watanzania wanaotumia mitandao. Kuna uhuru mkubwa sana wa Mitandao sasa, ambao ni safi kabisa. Ila siintofahamu zimekua nyingi saana.
Leo huyu kakamatwa...
Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya Pande Mbalimbali na Kutafuta Amani na Maendeleo Endelevu”. Mkutano huo umezingatia usalama wa...
Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!
Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!
Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana...
Wadau habarini za uchana huu wanajamii.
Natumaini mu wazima wa afya.
Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika.
Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere.
Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko.
Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto.
Hata...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
Mmmmh.... Nimewaza. Unamwambia mpenzi wako akunyonye mashine sababu unapenda. Kumbe siku hiyo kaamka vibaya network inakuja inakata, inakuja inakata inasoma EDGE kidogo inapotea.
We unachukulia poa. Unampa mashine. Anakumbuka jinsi ambavyo uliwahi mtenda au ulivyomnyanyasa au chuki yake kwa...
Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa.
Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi.
Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka...
Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana.
Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
TUMIA UTULIVU KUCHAGUA KWA SABABU KESHO NAWE UTACHAGULIWA NA ULICHOKICHAGUA ✍️
Hamna namna utakwepa kuchaguliwa na ulichokichagua, swali ni je kipi ulikichagua ?
1.Kozi uliyochagua kuisoma chuo bila shaka na yenyewe ilishakuchagua.
2.Aina ya mahusiano uliyochagua na yenyewe yalishakuchagua au...
Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu.......
Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
"Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ]
• Je, wewe...
ReutersCopyright: Reuters
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya Kati.
Cameron alithibitisha katika mahojiano na gazeti la Uingereza la "The Sunday Telegraph"...
Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco.
Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.