Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika.
Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa Chato inazo sifa zote zinazoiwezesha kujenga chuo hicho ikiwemo ukubwa wa eneo unaoridhisha.
=======...
Wasaalam wakuu wa GT naamini mko salama na mnaendelea kupambana na majukumu ya kujiingizia kipato.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni Mtumishi wa Umma ambaye natarajia ndani ya muda mfupi ni step down kwenye Utumishi wa Umma kutokana na kukosa muda wa kufanya mambo yangu binafsi ya...
Mapema Januari mwaka huu Waziri Mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi.
Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya.
========
Alhamisi, Januari 24, 2019
Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara...
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Baada ya kuona jitihada kubwa za Serikali kusimamia mapato na kukusanya kodi ikiwa ni pamoja na kutambua mchango wa wafanyakazi kutoka Sekta Binafsi na zile za umma, sasa ni muda muafaka awamu hii pia ijaribu kufikiria kama itafaa kufanya hivi:
Makampuni...
Afisa Mwandamizi Usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timoth leo asubuhi katika Ofisi za Chama Cha Mpinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa kupitia chama hicho.
Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa
Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.