Kutoka kwa mdau,
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani...