38 Jobs at Judicial Service Commission/ Tume Ya Utumishi Wa Mahakama March, 2022
The Judicial Service Commission is a body created in accordance with paragraph 112 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania for the year 1977. In addition, Judicial Administration Act No. 4/2011...
Naendelea kupata ukakasi kutoka vyombo hivi viwili. Mwenye mamlaka ya kukata fedha za mtumishi ni mwajiri kwa mkataba maalumu pale inapohitajika.
Nirudi kwenye mada, bodi na utumishi wamewabambikia watumishi madeni ya HESLB. Ukiuliza bodi wanadai hawahusiki na risiti za mishahara, utumishi...
Kama ilivyo kwa mataifa mengine duniani, Tanzania pia ilianzisha chombo cha kusimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni Taasisi inayosajili na kusimamia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu na kudhibiti taaluma ya Uhasibu nchini.
NBAA...
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM.
Kutokana na umakini...
Habari Jamii forums,
Natumaini kila mtu anaendelea vizuri , Nimekuwa shortlisted position ni Credit Officer II , Self Microfinance Fund. Naomba msaada wa mwongozo wa written itakuwaje kwa ambao washiwahi kufanya written yao au similar to hii.
Pia kwenye Ajira portal wameandika kutakuwa na...
Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo...
Wanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?
Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
TUNA TATIZO KUBWA LA HUDUMA DUNI KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA/SERIKALI...KIINI CHA TATIZO NI MFUMO WA AJIRA ZA SO CALLED "PERMANENT AND PENSIONABLE"
Nafahamu Taasisi mbalimbali za serikali zina targets lakini hali haiko hivyo kwa watumishi wao ambao target yao ni kuishi kazini hadi kustaafu...
Kwema jamani?
Wale tuliobahatika kuitwa kwenye usaili wa hii nafasi karibuni tubadilishane uzoefu wa maswali mbalimbali ya written yanayoulizwa na utumishi kwa nafasi tajwa.
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?
Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
wale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali
1. Mention components of research design
2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
Habari za mchana wakuu.
Kama swali lilivyouliza; Tetesi na pengine uhakika ni kwamba UTUMISHI wameendelea kuwa na tabia ya kukubali lobying kwa watumishi wanaogopa kustaafu, kuwaongezea mikataba baada kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima(kwa mujibu wa sheria na kanuni mbali mbali) yaani miaka...
Wakuu habari zenu.
Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
Habari za Muda wakuu,
Naomba Ushauri na kwa yeyote ambae ana uzoefu na inteview za utumishi kwani ndio mara ya kwanza na attend, kada ya commercial officer II (TRC). Walau nipate mwangaza wa interview zinavyokua.
AHSANTE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.