Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu.
Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia.
Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ?
Au ndio janja...
Rais wetu umejitahidi kufuta maumivu ya watumishi Wa umma wa nchi hii pamoja na makundi mengineyo yaliyokuwa yameathirika na utawala wa JPM.
Hakika katika utawala Wa mwendazake wananchi wameona rangi mbalimbali
Magufuri aliweka utaratibu mbaya Wa upandaji Wa madaraja ya mishahara pamoja na...
Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo:
Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057.
So...
Wadau Mambo vip?
Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani.
Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.
Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani?
Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
Wadau mambo Vipi? Mimi nina Shahada ya Masoko ila Utumishi nafasi walizotangaza za Afisa Biashara ii nikiomba naambiwa sina vigezo je shida nin? Vigezo hivyo hapo.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka...
Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao.
Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira.
Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
Habari wana Jf,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!nimekuwa na mshangao mkubwa kuona baadhi ya course tena za Bachelors kwenye baadhi ya vyuo vya serikali hazitambuliki kwenye mfumo wa ajira wa utumishi na kusababisha baadhi ya graduates kukosa haki yao ya msingi hata ya kufanya...
Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili...
Habari za Masiku ndg zangu,
Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia...
Habari Za Mchana,
Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema.
Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo
1. Maswali kutokana na hii kazi
2. Kiwango cha mshahara
3. Nizingatie nini...
Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo).
Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
Rais Samia aliwahi kuelekeza mamlaka zinazohusika kurejesha Bodi ya Mishahara na maslahi katika utumishi wa umma iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya nne na kisha kuvunjwa kipindi cha awamu ya tano.
Kutokuwepo kwa bodi hii hadi sasa na kuhamishia masuala ya maslahi idara kuu ya utumishi imeleta...
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.