Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa.
Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa.
Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza.
Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄
Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je, mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je, Jenista haona kuwa watu wanateseka...
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo...
Nimeona tangazo la kuitwa usaili TRA waombaji watafanyia Written Interview kikanda katika mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Mbeya na Mwanza.
Ni mwanzo mzuri katika utekelezaji wa agizo la serikali ili kuwapunguzia gharama waombaji wa hizo nafasi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwaajiri ya...
POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
LEGAL
EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To assist in preparation of roster and supervises Security guards for general security...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010.
Majukumu ya...
Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented.
Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote...
Poleni sana msiba mzito wa mtumishi mwenzenu kazi ya mungu haina makosa
Hongereni kwa kazi njema mnayoifanya ya kuwapigania watoto wa maskini nao kupata fulsa katika taasisi mbali mbali
Ila hapa TPA mlileta watumishi wapya katika matangazo mawili ya walioitwa kazini ambao ni security guard...
Hili suala kiukweli linafikirisha sana
Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine
Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.
Kwanini sehemu ya...
Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
Habari wakuu.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.
Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi wachache au ni kukosa accountability kwenye kazi zao?
Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini.
Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.