utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yuzo De roon

    Human Resource Management na Business Administration ipi kozi nzuri kusoma?

    Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, Nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake katika ajira yaani namaanisha (mshahara, urahisi wa ajira, heshima pia).
  2. R

    Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote? Kutokana...
  3. R

    Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  4. Jidu La Mabambasi

    Huyu Jenista Mhagama kuondoka Utumishi ilikuwa suala la muda tu!

    Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku. Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
  5. choza choza

    Je, Ualimu ni daraja la mwisho kwa utumishi?

    Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?
  6. Brightly

    Msaada: Naomba mbinu za kujiandaa na written interview utumishi

    Habarii wakuu; Naombenii msaada Mbinu za kujiandaa na written interview utumishi vitu gani unatakiwa kuvizingatiaa zaidii?
  7. BARD AI

    Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
  8. benzemah

    Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
  9. JanguKamaJangu

    Afisa Utumishi Igunga avamiwa, ajeruhiwa kwa panga shingoni

    Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa panga shingoni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Mussa Abdallah. Abdallah akiwa amejipumzisha nyumbani kwake Mtaa wa Mwayunge Kata ya Igunga mjini alipata mkasa huo baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani...
  10. B

    Ridhiwani: Barua za Utumishi zijibiwe haraka kuepusha malalamiko yasiyo ya lazima

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
  11. Nyani Ngabu

    Teuzi za viongozi wa ngazi za juu katika utumishi wa umma

    Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ‘viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake. Na jambo kubwa linalonichefua sana ni hii dhana ya kuonekana mtu ‘kaula’ anapoteuliwa na Rais kwenye nafasi yoyote ile ya kiuongozi...
  12. GENTAMYCINE

    Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

    Na kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%
  13. Ngongo

    David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  14. Cute sall

    Utumishi msimtie aibu Waziri Jenista Mhagama

    Mheshimiwa Jenista Mhagama hivi karibuni alinukuliwa akiuleza Umma kuwa wata Ajiri kupiti mfumo hifadhi wa Utumishi takribani nafasi 1769 zitatumika kua Ajiri kupitia Data base ya utumishi mwezi February 2023 Hivyo nawaomba utumishi kutomuangusha Mheshimiwa na kumfanya aonekane muongo. Endapo...
  15. G

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  16. Just Distinctions

    Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  18. 2025DG

    Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
  19. M

    Mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa?

    Habari wapendwa, Jamani kwa wale watumishi wa Serikali, hivi mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa. Maana mimi binafsi nimeandika barua toka mwezi wa 12 mwaka huu 2023, mpaka sasa majibu sijapata na nikipiga namba za call center hazipatikani. Na mbaya zaidi...
  20. westandtogether

    Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

    Habari wakuu, Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja. Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
Back
Top Bottom