utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kuchkuch hotahe

    Utumishi rekebisheni kidogo hii

    Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
  2. L

    Interview ya UTUMISHI

    Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate...
  3. Ojuolegbha

    Wizara za Utamaduni, Elimu na Utumishi zakutana kujadili Maendeleo ya Kiswahili na Michezo

    Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma. Lengo la kikao hicho ni...
  4. G

    Utumishi wana mfumo mbovu wa ajira, mfumo unakataa wenye vigezo

    Habari. Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification". Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze...
  5. G

    Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    Habari wanaJF. Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie? Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana...
  6. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral. Mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi!
  7. R

    Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  8. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri George B. Simbachawene Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
  9. Mpinzire

    Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

    Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kongamano la Wanawake Chuo cha Utumishi wa Umma, Singida

    MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
  11. Twilumba

    Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
  12. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma inafanya kazi nzuri: Isiingiliwe, mapungufu tuyaainishe ili wayarekebishe.

    Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
  13. Abraham Lincolnn

    Saili za utumishi kufanyika UDOM ni upendeleo mkubwa, si sawa

    Habari wakuu, Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi" Kati ya hayo naomba...
  14. A

    Inakuwaje graduates wa UDOM wanafaulu sana sahili za Utumishi?

    Habari za majukumu wanajukwaa. Nimeona kama vile waajiriwa wengi wapya kwenye taasisi mbali mbali kwa sasa ni UDOM graduate's ukilinganisha na vyuo vingine. Mfano kuna taasisi moja mwezi uliopita kati ya waajiriwa wake 26, 12 ni graduate wa UDOM. Ni kwamba wako competent sana kwenye Soko la...
  15. Jerry Farms

    SoC03 Utumishi wa Umma: Je, muda umefika sasa wa mwananchi kuwa na nguvu ya kisheria kumtoa mtumishi asiyewejibika ipasavyo?

    Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
  16. jastertz

    Masuala ya Utumishi, Tamisemi na sehemu nyingine

    Habari wana JF! Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo. Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye mchakato mzima kuanzia Kufungua akaunti Kuweka picha, Ku upload vyeti Kureset Password Na kutuma...
  17. M

    Tuwaelimishe vijana wanaoajiriwa sasa kwenye Utumishi wa Umma kuhusu haki na wajibu wao!

    Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji watekelezaji wa adhima hiyo ya serikali hasa kuhusu eneo la haki na stahiki za waajiriwa wapya. Mara...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janejelly James Ntate aomba Sheria za Utumishi wa Umma zilizopitwa na wakati zifanyiwe marekebisho

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na kuiomba Wizara ifanye baadhi ya Sheria. Mhe. Ntate ameiomba Wizara ya Utumishi ikaangalie upya sheria...
  19. B

    Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  20. M

    Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
Back
Top Bottom