utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hajto

    kuhusu Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,kuna kitu sijakielewa naombeni ushauri wenu,leo nimeingia kwenye ajira portol,kuna nafasi niliomba nimekuta nimeitwa kwenye saili,tarehe ya maelezo kwa kada zote inasema usaili ni tarehe 19,ila chini kabisa kwenye majina wameandika usaili wa kwanza ni tarehe 14 sasa...
  2. B

    Ofisin za utumishi dsm

    Nina shida na utumishi lakini niko dsm hivi Wana dirisha la kuwasilisha malalamiko kwa hapa dms na ofisi zao kwa hapa dar ni wapi au Hadi niende Dodoma msaada kwa anaejua anielekeze tafadhali
  3. Artificial intelligence

    DOKEZO UTUMISHI, Kuvuja kwa mitihani ya oral interviews Chemist II(Forensic science & toxicology Posts), Mwajiri Maabara ya Mkemia Mkuu (GCLA)

    Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
  4. Uponyaji na uzima

    Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  5. M

    Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  6. AccomplishedEntrepreneur

    Attention: UTUMISHI

    Deleted
  7. L

    Wakulima wa nyanda za juu kusini wanasema Mama ametufikia na kutujaza matumaini, wanauliza nani hajafikiwa na mama?

    Ndugu zangu huo ndio msemo mpya ulioibuka huku mtaani kwa kundi kubwa la wakulima ambao kwao kilimo ndio pumzi yao, wanasema hakika Mh. Rais Samia amewafikia kwa wakati na kuwajaza matumaini katika mioyo yao. Hii imetokana na kuwasili kwa wakati kwa mbolea za ruzuku zinazouzwa kwa bei elekezi...
  8. S

    Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  9. T

    Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

    Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa? 1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima. 2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake. 3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu. 4. Kuna...
  10. Messenger RNA

    Utumishi mko wapi nane nane?.

    Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
  11. swaki

    Utumishi wamesitisha kuita watu kwenye usaili?

    Kuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
  12. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
  13. S

    USHAURI: Ukomo wa Utumishi wa Umma uwe miaka 10

    Utumishi wa uwe mwisho miaka 10 Habari za majukumu wana jamii forum, andiko langu la leo ni juu ya ukomo wa utumishi wa umma, kwa mtazamo wangu ni bora zaidi ukomo wa kutumikia serikali upunguzwe hadi kifikia miaka 10, kwa maana ya kwamba serikali itengeneze utaratibu wa wahitimu wa vyuo...
  14. kyagata

    Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Jiangalieni hapo kama mpo.
  15. makofia360

    Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

    Pamoja na mtihani wa mchujo kuwa mkali sana TPA kupitia Utumishi wapo waliopenya vipi walishaitwaga kazini
  16. Mboka man

    Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa...
  17. kyagata

    Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

    Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG. Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo...
  18. Samba

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  19. Moniel

    Interview ya kazi ya Utumishi wa Mahakama imetoka?

    Habari zenu wakuu! Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application), Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu...
  20. luangalila

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

    Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya. Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti. Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
Back
Top Bottom