Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono.
Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili!
MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote...
Habarini,
Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms.
Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao.
Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu.
Nashauri serikali...
Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira,
Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
Kwa:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
S.L.P 2483,
Dodoma.
YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA
Ndugu Katibu Mkuu,
Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi!
1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani?
2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa...
Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa.
Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant,
Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected
Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga chenga, hivi hivi😭
Mungu unikumbuke kwa kweli
Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini.
Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
Hello wakuu,
Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira.
Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi chaguliwe.
Je, yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya,
na pia...
Habari za muda huu,
Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji...
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.