Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
Hamjamboni!
Kuna Misukule ya aina nyingi.
1. Kuna Misukule ya Imani
Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga.
Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa
Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa.
Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
Habari wakuu.
Kwenye Jamii yetu watu wengi ni watumwa wa pesa yaani unakuta mtu anafanya kazi kwa bidii sana hadi anakosa muda wa kukaa na familia yake yote sababu ya pesa.
Sisemi ya kwamba tusifanye kazi kwa bidii, la hasha. Ila tunatakiwa kuwa huru kufanya tutakacho maishani bila kuamriwa na...
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni...
Salaam,
Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz.
Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa.
Lakini...
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.
Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.
Cha zaidi ni...
I salute you kinsmen.!
Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi .
Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.!
Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
Leo nimesikitika sana baada ya kusoma uzi wa jamaa anayetaka wahudumu wa mgahawani kwa mshahara wa Tsh 2000/= kwa siku kwa hoja kwamba watakula bure mgahawani. Watu wengi kwenye ule uzi wamempinga vikali mleta mada. Mimi pia niliandika comments za kupinga huo ujinga.
Ninawasihi waajiri binafsi...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli.
Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto...
Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na...
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.
Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea...
Ni raha sana pale unapoanza kazi kwa mara ya kwanza paaa salary hiyoo inaingia kwenye bank acount na kusoma 350k, 400k mara 570k au 700k na nk.
Mwanzo mwa maisha ya kazi ni raha na utajihisi kuwa una ubia au undugu mzuri na Serikali, pia utadumisha uadilifu mwingi na unyenyekevu kazini.
Sasa...
Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa
Warabu walikuwa na watumwa na...
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku?
Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako...
Mar 26, 2024 10:52 UTC
Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya...
Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.
Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.
Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.
Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.