Ndio! Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kudhani kwamba kumsomesha mtoto ndio jukumu lako kubwa .
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kusema kwamba ninakusomesha mali utajitafutia.
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kumwambie mtoto jitafutie kwani mimi nilitafutiwa na baba yangu?
Ni utumwa wa kifikra kwa...
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira...
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”
Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu.
Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
EU country to apologize for slavery – media
The Netherlands is expected to set up a multimillion ‘awareness fund’ as part of its history recognition campaign.
The Dutch government plans to issue a formal apology next month for its history as a slaving nation, the RTL news website reported on...
Michezo inaendeleza Biashara ya watu
Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.
Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na...
Huu ni Utumwa Katika Elimu.
Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani.
Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.
Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama...
Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa,
Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran.
Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua.
Hata kama...
Ukienda katika jamii zetu hata watoto wadogo ambao hawajui maisha yanaendaje wanaamini mzungu ni mtu bora kuliko mtu mweusi.
Nimejiuliza sana dhana hizi zinatokana na nini lakini nimekuja kubaini kuwa dhana hizi walitujengea wakoloni enzi za ukoloni.
waafrika walichukuliwa kama tabaka la chini...
Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri.
As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa...
Machi 22, wanaharakati wa #Jamaica walikusanyika katika Ubalozi wa #Uingereza na kuimba nyimbo za kuitaka nchi hiyo iombe radhi na kulipa fidia kutokana na Utumwa.
Mtoto wa Mfalme na mkewe wametembelea #Kingston Jamaica kwa matembezi ya wiki moja. Matembezi hayo yamegongana na sherehe za miaka...
Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.