Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu.
Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya wachambuzi uchwara.
Lakini msimu huu sijaona mchambuzi yeyote kuhamasisha wanasimba...
Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa.
Rais Hakainde Hichilema alitoa...
Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia.
Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.
Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani...
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.
Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.