Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...