uuzaji wa rejareja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

    Wakuu, Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…