Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida

Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka

Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?

shop.jpeg
 
Ufafanuzi wa biashara ya mtu,iwe kubwa au ndogo ''Small business'' inategemea na malengo ya mjasiriamali ''Entrepreneur's goals'' resources and tolerance for risk,

Huwezi kuponda biashara ya mtu au kusema haimpatii faida kubwa wakati hujui hata malengo ya huyo mfanya biashara,
A small profit business can lead to big profits business.
 
Wakuu,

Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida

Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka

Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?

Uwe unaacha ujinga wa kumind business za watu, hio ni volume business, hizo miamia zikwa mia si 10k tyr
 
Glossaries ni fast moving goods (FMG).
Faida yake kwa item moja ndogo sana. Faida kubwa inakuwa kwenye mauzo ya items(quantities) nyingi.
Kwa hivyo ukitafuta right items, ukaweka biashara yako location nzuri unapata faida na unapata fedha ya kula. Ukitaka utajiri uwe muuzaji wa jumla wa bidhaa hizo hizo.
 
Wakuu,

Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida

Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka

Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?

Biashara ni sanaa na ni kipaji.. Kama huna hivyo vitu viwili utaishia kubeza
 
Wakuu,

Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida

Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka

Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?

Tupe Alternative business mkuu
 
Of course biashara ya duka la rejareja Kwa mahitaji ya nyumbani huwa haina faida kubwa Kwa item moja moja

Ila kadri unavyouza kwa wingi ndipo faida inapopatikana.

Ukitengeneza faidi ya 20,000/Siku ni shilingi 600,000 hiyo Kwa Mwezi

Kama mjanja, unaweka na lipa namba/Mpesa humo humo ili kuongeza profit margin
 
Of course biashara ya duka la rejareja Kwa mahitaji ya nyumbani huwa haina faida kubwa Kwa item moja moja

Ila kadri unavyouza kwa wingi ndipo faida inapopatikana.

Ukitengeneza faida ya 20,000/Siku ni shilingi 600,000 hiyo Kwa Mwezi

Kama mjanja, unaweka na lipa namba/Mpesa humo humo ili kuongeza profit margin

Hivi kumbe ukitumia lipa namba profit margin inaongezeka?

Sio kwamba kwenye lipa namba kuna makato mkuu
 
Back
Top Bottom