Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

Gboost bei ya jumla 5,000 zinakaa 12 zinauzwa 500.
Ukiuza katoni Moja faida 1,000.
Bora hardware
One thing you should know is product categories. Gboost inaangukia kwenye FMCG. Fast moving consumer goods. Ndio maana kila baada ya siku 3 muuzaji wa Gboost anashusha cartons 200. Lakini wewe mifuko yako 50 ya cement mpaka mwezi mmoja hujamaliza. Lakini lingine, investment ya Gboost ni 5,000/= unatarajia itoe faida kiasi gani?
Cement mfuko mmoja sh 14,500/=
 
Hyo imenishinda.
 
Nachoamini biashara yoyote I inahitaji mzunguko.

Kama muuza magari, unauza gari moja kila baada ya miezi mitatu, hata kama faida ni 2m bado kibiashara hufanyi vizuri.

Ila muuza genge, ananunua tenga la nyanya 60,000 na anauza nyanya moja 200 na zinaisha kila siku. Kibiashara anafanya vizuri na anapata faida kuliko huyo muuza magari.
Japo sio mchumi ila biashara za mtaani si tunafanya, tunajua!!
 
Nyuzi kama hizi siku zote comment ya kwanza kabisa (post #2) huwa inafunga mjadala sijui kwa nini

Mleta mada jinga sana wewe
 
Back
Top Bottom