uvaaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  2. MK254

    Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

    Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu. ====================== Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
  3. Uhakika Bro

    Kweli au si kweli, uvaaji wa kitu(metali) mkononi unaweza kuiathiri afya kwa ujumla?

    Kwa kweli mi utafiti wa kisayansi utakuja kunikuta baadaye tayari nishafikaga huko. Unajua mambo mengi tu yaliyopo kiasili, huwa tayari ndio ukweli sema tu unasubiria sayansi kuja kutoa maelezo kwamba kwa nini hicho kitu ni kweli. Lakini mi sio mjinga. Sitasubiri hadi mwanasayansi wa nje aje...
  4. Mtafiti77

    Uvaaji viatu aina ya brogues

    Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless. Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole...
  5. Don Moen

    Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

    Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge. Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷ kadhalika na Watanzania wote. Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso. Natamani upate tu mtaalam wa mavazi...
  6. RWANDES

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba tunaomba uachane na uvaaji wa tai zenye rangi ya bendera ya Tanzania

    Wananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu. Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serikali...
  7. Lanlady

    Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  8. N

    Uvaaji huu wa maafisa wa Chadema bungeni utafelisha barua

    Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to...
  9. D

    Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  10. J

    #COVID19 Uvaaji Barakoa kwa watoto wenye matatizo ya ukuaji na akili na si wa lazima

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote walio na shida ya ukuaji wa akili au mwili, upumuaji na matatizo mengine maalum ya kiafya hayapaswi kuwa ya lazima na kwamba tahmini ya hali ya mtoto ni muhimu kuelezwa na mzazi, mlezi au mtoa huduma wa...
  11. T

    #COVID19 Napata tabu kidogo na uvaaji wa barakoa!

    Kila ninapowaona viongozi wakuu na uvaaji barakoa uaniletea maswali kadhaa. Mara nyingi utawaona wamezingatia kuvaa barakoa mara tu wanapoonana lakini baada ya kuongea mawili matatu unakuta wamezivua barakoa na kuendelea kupiga soga. Hii inamaanisha nini? Hata hivyo ingawa mimi sio...
  12. Analogia Malenga

    #COVID19 Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengi. Waziri mkuu, Boris Johnson, alisema alitarajia kupunguza sheria za Covid...
  13. M

    #COVID19 London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

    Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!
  14. Infantry Soldier

    Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

    Good afternoon JamiiForums Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"? Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za...
  15. pombe kali

    Chama cha Wanasheria (TLS) mngependekeza aina ya uvaaji (dress code) katika mikutano yenu

    Nimeangalia mkutano uliyojumuisha uchaguzi wa raisi wa chama cha wanasheria kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Tukio hili kubwa la kitaifa lilifanyika Arusha kwenye jumba kuu la mkutano al maarufu kama AICC ni ukumbi wa mkutano ambao hufanyika mikutano mikubwa ikizingatiwa Arusha ni Makao...
  16. I

    Uvaaji was barakoa

    Habari za asubuhi wakuu. Namuona mama samia suluhu kavaa barakoa sasa hivi akiwa Uganda
  17. and 300

    Uvaaji Kondomu uboreshwe

    Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
  18. M

    Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

    Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao. Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
  19. S

    Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  20. Suley2019

    Wizara ya Afya: Ufafanuzi wa uvaaji wa Barakoa kwa Wanafunzi

Back
Top Bottom