Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19.
Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani...
Kutokana na ushauri wa kuvaa barakoa kama njia mojawapo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya kirusi cha korona wengi wetu wanafanya makosa yafuatayo ya uvaaji wake.
1) Barakoa kufunika tu mdomo. Uwezekano wa kuambukizwa kupitia pua ni mkubwa ukivuta hewa yenye virusi. Hii ni pamoja na...
Mengi yamesemwa kuhusiana na hizi barakoa na hadi sasa hivi kuna baadhi ya watu hawajazielewa vizuri.
Kuna wanaodai zile za kutengenezwa mtaani hazifai kabisa lakini kuna kundi la watu wengine wanadai hata hivyo zinasaidia kuliko kuacha kabisa kuvaa.
Nilichokishuhudia leo kwa jirani yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.