Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19.
Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani...