Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok.
Duru za kuaminika zinasema kuwa wiki iliyopita Mbunge wa Eneo hilo Ken Aramat, aliapa kuongoza morans katika harakati za...