Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi.
Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.
Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu...
Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi.
Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary.
Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
Kama ni uvamizi wa nchi zingine nchi za kibeberu za Ulaya zinaongoza na Urusi sio ya kwanza.
Ukianzia na kuzivamia nchi mbalimbali ikiwemo Afrika kuziweka kwenye ukoloni kuanzia karne ya 18 nchi za kibepari za Ulaya na Marekani ndio zinaongoza dunia kwa uvamizi wa nchi zingine..
Kuna Japan...
Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo.
Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje?
Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika...
BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI!
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni...
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
Mzuka wanajamvi!
Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi million 5 tiuu za Uganda.
Tukio hilo lilitokea mchana kweupe na lilinaswa na CCTV na polisi...
Kuna dhana inayojulikana kama Guerrilla Urbanization, miji kukua hovyo bila kufuata utaratibu ambayo pia inakuja na element uvamizi wa ardhi kwa kiasi kikubwa. Kwa kipindi kirefu mchezo huu umekuwa ukiitafuna Pwani & Dar es Salaam. Na kama hatutatafuta muarobaini itakuwa ni the new norm
Shida...
ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu.
Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
Mwanahabari Absalom Kibanda
TAARIFA ZA AWALI
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...
Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye.
===========
Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.