uvccm taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Pre GE2025 UVCCM imejipanga kujibu mapigo kwa hoja kuelekea uchaguzi

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  2. upupu255

    Pre GE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Mjumbe UVCCM Taifa: Vijana tuna jukumu la kutafuta kura za Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana wa CCM katika mikoa, Wilaya, kata, matawi na shina kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Ndg...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 CCM kumchagua Wasira kama Makamu Mwenyekiti ni tusi kubwa kwa vijana na wanawake wa chama hicho. UWT na UVCCM mbona mko kimya?

    Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

    Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea. Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
  6. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammedi Kawaida akiwa amebeba Jeneza lenye Mwili wa Michael Kalinga

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohammedi Kawaida .Kwa uchungu,maumivu,simanzi ,majonzi na huzuni isiyopimika wala kuelezeka. Ameshiriki na kuhusika katika shughuli zote za kuaga na kuupumzisha Mwili wa Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Machinjioni Makongorosi wilayani Chunya...
  7. S

    Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
  8. M

    Kama kijana jasiri hasa, fanya kuhama CCM

    Za jioni wadau Utakuta kijana anasimama juu jukwaa la chama cha watz ,chama pendwa cha waliowengi halafu anawaponda wapinzani na kuwatishia. akienda nyumbani anajisifu kwamba wapinzani kawashambulia na watazidi kumsikia. haafu anajiita jasiri mimi naona huo sio ujasiri,i hayo yasemee nje...
  9. mwanamwana

    Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

    Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote wakiwemo makada wa vyama vya upinzani watakaotumia vibaya uhuru wa kufanya siasa kumtukana Rais wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Juliana Masaburi ‘Awashika Mkono’ UVCCM Wilaya ya Ilala Ujenzi Nyumba ya Mtumishi

    MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa Baraza la UVCCM Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti Kawaida aongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu UVCCM Taifa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa tarehe 05 Julai, 2024 Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es salaam. #TunaendeleaNaMama #Kaziiendelee...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  13. peno hasegawa

    UVCCM hili jukumu mmepewa na serikali au hamna kazi ya kufanya?

    DIRISHA LIMEFUNGULIWA, NJOO TUKUSAIDIE KUFANYA APPLICATION ZA MKOPO BODI YA MIKOPO HESLB. Contacts:- 0627799285. Katibu Seneti Mkoa Habari! Dirisha la Kufanya Maombi ya Mikopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) limefunguliwa. Uongozi wa UVCCM kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Seneti (M)...
  14. Nkarahacha

    Mwili wa mtoto aliyegongwa na gari la Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Burhan wazikwa, simanzi kubwa yatawala kwenye familia ya mwanafunzi

    MWILI WA MTOTO ALIYEGONGWA NA GARI LA WENYEKITI WA UVCCM MKOA WA KAGERA FARIS BURUHAN WAZIKWA,SIMANZI KUBWA YATAWALA KWENYE FAMILIA YA MWANAFUNZI HUYO. Mwili wa MWANAFUNZI Revina Kaumbya Leginard(9)wa darasa la tatu shule ya msingi Kamachumu B aliyegongwa na gari la Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa...
  15. Tanzania Railways Corp

    TRC watoa majibu kuhusu uwapo wa Treni zenye Vichwa vilivyochongoka

    TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
  16. S

    Kikao cha kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa

    KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC) @comrade_kawaida Kuongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Kitakachofanyika Tarehe 25 Juni, 2023 Makao Makuu ya UVCCM Dodoma...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UVCCM Taifa Kawaida: Wapuuzeni Wanaopotosha Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
  18. T

    Ushauri kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa. Jikite katika kukitangaza chama na kumtangaza mwenyekiti

    Habari, Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa. Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
  19. I

    UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

    Mohamed Kawaida ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa ambapo Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa imechukuliwa na Bi Rehema Sombi Omary MATOKEO YA UCHAGUZI UVCCM ==========================
  20. J

    Wajumbe Tuna imani sana na Mohamed Ali Mohamed (KAWAIDA) Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM TAIFA

    Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha kuwakimbiza kwa mbali sana Wagombea wenzaki katika Mchakato huu wa Uchaguzi ndani ya Taifa mara tu wajumbe...
Back
Top Bottom