KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii.
Bunge...
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.
Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb).
Ndugu Victoria Mwanziva amefika Wizarani akiwa na lengo...
"Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya.
Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
Leo Katibu Mkuu wa Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi alikuwa Mkoani Geita kwenye muendelezo wa kampeni ya Sensa na Vijana.
Kampeni hiyo ilifunguliwa Mjini Dar es salaam kwa kauli ya kufanyika nchi nzima na sasa imetia nanga kwenye mikoa ya Kanda ya ziwa.
Maudhui na...
📍 DODOMA
Bungeni 26/05/2022
Mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson akitambulisha wageni wake ambao ni Vijana wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda nchini Marekani mwezi ujao (June 2022) kwa mafunzo maalumu ya YALI Mandela Washington Fellowship 2022.
Vijana hawa watawakilisha Tanzania katika programu...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI
27.03.2022 - Dar-Es-Salaam
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Mwanziva ashiriki Darasa la itikadi Tawi la UVCCM Msakuzi Mashariki - Kata ya Mbezi -...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.
Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa...
UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.
“Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.