"Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya.
Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu,
Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo.
Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa wa mtu binafsi kujihusisha moja kwa moja kwenye siasa kama mwanachama wa chama au mgombea wa chama...
KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
UVCCM HQ
JULAI 03, 2022
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Ameyasema hayo alipokua anahutubia katika Mahafali ya UVCCM Seneti ya...
SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI
SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI.
Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI
VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA
KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo.
Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania.
Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
📍 DODOMA
Bungeni 26/05/2022
Mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson akitambulisha wageni wake ambao ni Vijana wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda nchini Marekani mwezi ujao (June 2022) kwa mafunzo maalumu ya YALI Mandela Washington Fellowship 2022.
Vijana hawa watawakilisha Tanzania katika programu...
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.
Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake...
Kwa sasa, kazi ya msingi inayofanywa na UVCCM ni kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali chini ya Mhe. Rais Mama samia.
Jambo wanalofanya ni zuri kwa kuwa ni kweli kuna kazi nzuri na kubwa zinazofanyika. Aidha, ni muhimu kwa kuwa mtu anapofanya jambo jema na akapongezwa, hiyo ni...
UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu.
Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana
Katika hali ya kusikitisha Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wanadaiwa kutapeli zaidi ya milioni 80.
Tuhuma za UVCCM wilaya ya Nyamagana zinawakabili watu wawili ambao ni viongozi, Mwenyekiti wa UVCCM wilaya...
VIJANA NA UCHAGUZI NDANI YA CCM NA UVCCM 2022
Na Victoria Charles Mwanziva (Katibu idara ya uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa)
Chama cha Mapinduzi CCM kinaheshimika na kufahamika kwa mfumo wake mzuri wa demokrasia iliyoshamiri ndani yake, kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwake baada ya...
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini
Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele
=======
"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni kugombea nafasimbalimbalikatika chama na jumuiya zake. Jipime, ukiona unatosha naenda ukachukue fomu"...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI
27.03.2022 - Dar-Es-Salaam
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Mwanziva ashiriki Darasa la itikadi Tawi la UVCCM Msakuzi Mashariki - Kata ya Mbezi -...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...