Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI
Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma.
===
Updates:
Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu.
Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge.
Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂
Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.