Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.
Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar.
Sasa swali langu ni...
Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna
----
Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana.
Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana.
Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini.
'' Mtu akianzisha labda...
Ndugu zangu vijana wangu na wanaccm tuache unafki na ubishi usiokuwa na sababu. Hivi anayoyasema mwenyekiti Heri James kuna kipi kipya hapo? Tunabisha kitu gani kama kweli tunataka kulijenga taifa kwa pamoja?
Tuache ujinga, tusitake kulazimisha mambo wakati tunajua kabisa kuna uwezekano wa...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo.
UPDATES:
MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia majirani wanaojiendeleza.
Ndivyo walivyo vijana wa chama tawala, muda walionao wangewekeza kushauri...
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.
Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.
Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete...
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mkoa wa Njombe...
Ndugu wana CCM,
Ndugu yetu, kijana wetu Emmanuel Polykap Mlelwa hatunae tena. Nimepigiwa simu na baba yake mzazi, Diwani mstaafu wa kata ya Madope-Ludewa kuwa ameuwa na watu wasiojulikana eneo la Kibena.
Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya Kibena leo ni siku ya sita ndiyo umetambuliwa...
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM...
Nimefuatilia zoezi la kura za maoni za viti maalumu upande wa UVCCM nimechoka kabisa.
Naipenda sana CCM lakini kiukweli UVCCM wa zama hizi wanafeli sana. Yaani wadada wote waliojazana CCM wenye elimu tofauti tofauti mnashindwa kupata wagombea makini hadi mnatuletea magarasa.
Haishangazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.