Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.
Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo alizungumza na wanachama katika Shina namba 1, pamoja na kuzindua shina la wakereketwa pia kukagua mradi...
Alichosema na kugusia Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo majuzi juu ya baadhi ya mapungufu ya utawala wa Awamu ya Tano yanaungwa mkono na sisi wapenda chama.
Chama ni mawazo ya wanachama na si mtu.
Hivyo mtu akikosea, kuchambuliwa ni lazima na ndio kukijenga chama.
Moja ya imani ya chama ni...
ANTONY DIALLO ANAZEEKA VIBAYA
Kwanza kabisa nianze kwa dhati ya moyo wangu kumpongeza katibu wetu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania (UVCCM) ndugu yetu, na kaka yetu Kenani Labani Kihongosi kwa jinsi anavofanya kazi kwa weledi mkubwa kama kijana mwenye maono na anaonesha kwa namna gani ni...
UVCCM WAMEMTISHA DKT. ANTHONY DIALLO NA AMEKUBALI KUTISHIKA!
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Dkt. Anthony Diallo alizungumza na kutoa maoni yake na ulimwengu umemsikia. Alipokuwa akiongea alionekana kuwa timamu. Alionekana alikuwa na agenda na alionekana alijiiandaa vema...
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.
Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM...
Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa.
Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona kiongozi wa chama cha siasa tena mwenyekiti wa Wilaya kabisa bado ni mtumishi wa umma tena ni mkuu wa...
JE, WAJUA?
Maisha ya Kenani yanatupa Somo
- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa
- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO
- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.
- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.
- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.
- Mjumbe wa...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
UVCCM mnatakiwa kubadili mitazamo yenu.
Ndugu zangu nawasalimu.
Leo tena nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Leo nitaongelea kuhusu Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na kushauri machache.
Toka uteuzi wa wakuu wa wilaya utangazwe siku chache zilizopita kumekuwa na...
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
Baada ya taarifa rasmi ya Uteuzi wa MADC kutoka hadharani kumekuwa na miluzi mingi kutoka kwa wanaharakati wa mitandaoni, CHADEMA na UVCCM wenyewe.
Something is wrong somewhere, hivi ni nani aliyewahi kusema nafasi za MADC ni za UVCCM? Ni nani aliyewaambia CHADEMA sisi wanajumuiya Ultimate...
Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya.
UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji.
Ile sherehe mliyofanya...
Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae.
Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA Katibu Mkuu UVCCM TAIFA (SG) Raymond Mangwala
Baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa UVCCM - Taifa kupewa UDC. Chombo hicho kimebaki bila uongozi wa juu. Ukiachilia suala la Mwenyekiti wake Kheri James ambaye alichaguliwa kwa kura kupitia Mkutano mkuu, UVCCM kwa sasa...
UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Na Thadei Ole Mushi.
1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa zilizopita ni vigumu Sana kufanya vetting kwa vijana wanaosifia tu kuanzia January...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.