uviko-19

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    SoC01 Je, tatizo ni chanjo ya UVIKO-19 au ni imani potofu?

    Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa ama la bali kujenga hoja zitakazosaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kuchanjwa ama kutochanjwa...
  2. Informer

    #COVID19 Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

  3. The ricco king

    SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  4. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  5. Suley2019

    #COVID19 Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

    Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele 'Steve Nyerere' ameteuliwa kuwa Balozi wa harakati za kupambana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (Uviko-19). Steve ameteuliwa leo Alhamisi Agosti 12 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  6. moyafricatz

    #COVID19 Kurejewa upya kwa gharama za upimaji wa UVIKO-19 kwa wasafiri nchini Tanzania

    Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam. Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
  7. TheChoji

    #COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

    Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
  8. beth

    #COVID19 Global Fund yatoa Dola za Marekani Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na UVIKO-19

    Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19 Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya...
  9. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  10. Mathanzua

    #COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

    Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19. Kwa hiyo Mwanasayansi...
  11. Stephano Mgendanyi

    #COVID19 Kassim Majaliwa: Hakuna mtu aliyelazimishwa kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    WAZIRI MKUU WA TANZANIA, NDUGU. KASSIM MAJALIWA: HAKUNA MTU ALIYELAZIMISHWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19. Awataka wananchi wapuuze upotoshwaji unaoendelea mitandaoni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa...
  12. I

    #COVID19 Wataalamu nisaidieni: Hivi ni sahihi kuanzisha kodi mpya katikati ya janga la Corona?

    Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi. Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu zote zinazohusu corona. Mrithi wake kaja na wazo tofauti. yeye anazikubali pamoja na mambo yake...
  13. Dr Adinan

    #COVID19 Kuingia kwenye wimbi la tatu ni Uamuzi Kama Ilivyo Kutokuingia

    Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari ilikuwa juu, idadi ya waliokuwa wanaumwa ikaanza kupungua. Virusi hawakuwa wameisha! Walikuwa wachache. Na...
  14. kimsboy

    #COVID19 UN yaipa Tanzania takribani Dola 900,000 kusaidia wahanga wa UVIKO-19

    UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathiriwa na janga la ugonjwa wa korona au...
  15. Richard

    #COVID19 Je, Tanzania imejiandaa kupokea dawa za Astra Zeneca zilizokataliwa huko kwingine? Pia tutakubali dawa za COVAX kama mkopo au tutagharamia wenyewe?

    Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani. Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika kufariki kwa moyo kukosa hewa kutoka mwenye mishipa ya damu. Uingereza iliiweka Tanzania kwenye ya...
Back
Top Bottom