uvivu wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Nini hufanya mtu kuanza kujivuta kufanya mambo muhimu? Ni uvivu au ni kutokujiamini?

    Katika maisha, wengi wetu tumewahi kujihisi wavivu – tunapanga kufanya mambo lakini tunajikuta tukiahirisha, tunakuwa na malengo makubwa lakini hatuchukui hatua. Lakini vipi kama tatizo si uvivu bali ni kutokujiamini? Kulingana na utafiti, wakati mwingine tunaposhindwa kuchukua hatua, si kwa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Katavi wanalalamika wanaume zao kulala hadi 6 mchana. Ni uvivu au ni nini?

    Wakuu, Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti. Wanawake wanasema kuwa wanaume wamekuwa na tabia ya kuamka saa 6 mchana wakati wao wakihenyeka kwenye vibarua. Wanaume wa Katavi...
Back
Top Bottom