uvumbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Karakana ya Luban yachochea moyo wa uvumbuzi kwa vijana barani Afrika

    Katika miaka ya karibuni, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya kiuvumbuzi, mfano ukiwa ni karakana ya Luban, ambayo imekuwa alama ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili katika mafunzo ya ufundi stadi. Karakana ya Luban ni sehemu ya ushirikiano kati ya...
  2. Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
  3. Uvumbuzi uliodumu vizazi

    Walter Hunt: Mvumbuzi Nyuma ya Pini Walter Hunt alikuwa mvumbuzi wa Kimarekani anayejulikana sana kwa kuunda pini mwaka wa 1849. Aliitengeneza kama njia ya kulipa deni la $15 haraka. Pini hiyo ilitengenezwa kutoka kwa kipande kimoja cha waya, kilichoviringwa katikati ili kufanya kazi kama...
  4. TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  5. Uvumbuzi wa Dark Oxygen

    Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa...
  6. Uvumbuzi haukubaliki Afrika

    Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi. Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
  7. Mimi nilijitoa masomo ya sayansi. Hawa wanasayansi wa kujadili jezi za Simba na Yanga tusahau kuona uvumbuzi mpya

    Hello! Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry. Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa...
  8. Wanafunzi wa ATC waja na uvumbuzi wa kujenga barabara za makaratasi, mizani isioonekana na wireless electricity

    Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara. Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme...
  9. F

    SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
  10. Maonesho ya kumi ya uvumbuzi

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Maonesho Ya Kumi Ya Uvumbuzi, Yanayotambulika Kama, "Innovation for a Competitive Economy", Yaliyoandaliwa Na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP). Kwenye Maonesho Haya, Niliweza Kujifunza Na Kupata Mawazo Ya Kujenga, Pamoja Na Kukutana na Vijana Wenzangu...
  11. SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  12. L

    China yapiga hatua kubwa katika kuwapa fursa wanawake kufanya uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia

    Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka 2024. Mkutano huu uliofanyika Aprili 27 mjini Beijing, ulikuwa na kauli mbiu ya "Kuchochea Uhai na...
  13. F

    Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  14. Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  15. Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  16. Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  17. Tutandelea siku tukiweza kuwa sisi, kifkra, uvumbuzi kujitegemea kwa kila kotu

    Habari..? Majuzi majuma kadhaa yaliyipita Raisi Samia alilalamikia kitendo cha nchi kama Thailand kutuacha kimaendeleo wakati uhuri tulipata wakati unaokaribiana. Yes, tumjibu raisi wetu kuwa akianza kuibomoa CCM na kuweka katiba mpya itakua tumeweza kusogea hatua ya kwanza. Hili taifa...
  18. Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  19. K

    Umuhimu wa motisha kwa wafanyakazi

    Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
  20. Sielewi mpango w serikali katika kuchochea maendeleo ya sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi

    Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…