uvumilivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichwamoto

    Uvumilivu na Umoja wa kweli Nguzo ya Ndoa ya kudumu

    Uvumilivu ni tiba na rutuba ya kupitia milima na mabonde ya ndoa. Umoja ni dawa chanjo ya uimara wa taasisi yaani ndoa. Wengine mtasema upendo mimi natumia umoja, na hii hutokea pale baadhi ya watu huingia kwa ndoa kama daraja la kuvuka shida zao au kufika malengo yao yasiohusiana na mwanandoa...
  2. B

    Askofu Bagonza atoa somo la uraia, uvumilivu wa kusikiliza hoja kinzani ndiyo siasa yenyewe

    Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa. Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
  3. GENTAMYCINE

    Uvumilivu umemshinda Dkt. Hamis Kigangwala, aahidi 'Kujilipua' mazima kwa 'Maadui' zake Januari hadi Desemba 2022

    Mungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea January mpaka Disemba! InshaAllah! Chanzo: Dk. Hamis Kigangwala MB Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya...
  4. L

    Uvumilivu na masikilizano vinaweza kusaidia kuondoa vurugu duniani

    Tarehe 2 ya mwezi Oktoba kila mwaka ni siku ya kimataifa kutokuwa na vurugu (The International Day of Non-Violence). Siku hii ilichaguliwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kueneza ujumbe wa kutokuwepo kwa vurugu duniani, kupitia elimu na uhamasishaji. Lengo kuu ni kujenga utamaduni wa kuwepo kwa...
  5. simulizi za kweli

    SoC01 Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

    Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
  6. Baraka21

    Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

  7. KANYEGELO

    Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

    Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20 Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe...
  8. Forrest Gump

    Wanawake na wanaume: Tuelezeni matarajio matatu mnayotegemea kuyapata kwa wenza wenu

    Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi ndio nguzo ya sisi kuwapenda zaidi, kuthaminiwa, maelewano na furaha. Ofcourse tuna mambo mengi...
  9. TheDreamer Thebeliever

    Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

    Habari wanajamvi..! Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni. Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu. Mambo yanayopelekewa kutimuliwa 1. Tabia mbaya...
  10. MILL8

    Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

    Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenzi, ungejisikiaje? Leo mwana JF mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... Ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenzi wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata...
  11. E

    Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza. Hivyo kijana usipokuwa...
Back
Top Bottom