uvunjifu wa sheria za barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke akataa kupisha Gari la Serikali Lililovamia Njia ambayo si yake

    Hii sasa ukisika atucheki na wowote ndiyo hii. Pia ni kuonyesha ukomavu katika kusimamia sheria na utaratibu uliwekwa bila kujali cheo au nafasi ya mtu! Mwanamke mmoja, kwa kuonesha mshikamano na wananchi wenzake, aligoma kupisha gari la serikali lililokuwa likivamia upande usio wake barabarani.
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa viongozi wetu wanakimbilia nini na wanawahi wapi?

    Wavunjifu namba MOJA wa sheria za barabarani ni madereva wa serikali wanapokuwq na magari ya serikali. wana overtake popote Hawajali speed limit Hawaheshimu sheria nyingi za barabarani Hapa siongelei misafara ya viongozi ambayo nayo ni kero nyingine. Yale masaa ya kusubiri kiongozi apite...
Back
Top Bottom