Hii sasa ukisika atucheki na wowote ndiyo hii. Pia ni kuonyesha ukomavu katika kusimamia sheria na utaratibu uliwekwa bila kujali cheo au nafasi ya mtu!
Mwanamke mmoja, kwa kuonesha mshikamano na wananchi wenzake, aligoma kupisha gari la serikali lililokuwa likivamia upande usio wake barabarani.
Wavunjifu namba MOJA wa sheria za barabarani ni madereva wa serikali wanapokuwq na magari ya serikali.
wana overtake popote
Hawajali speed limit
Hawaheshimu sheria nyingi za barabarani
Hapa siongelei misafara ya viongozi ambayo nayo ni kero nyingine. Yale masaa ya kusubiri kiongozi apite...