Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa leo Juni 10, 2026 akiwa Bungeni amesema "Ushiriki wa Wanaukerewe katika shughuli hizi [Uvuvi] itategemeana na upatikanaji wa mitaji, nihamasishe halmashauri za Wilaya nchi nzima, zianze kutenga fedha hasa zile za 10% kwa maeneo ambayo ni ya...
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo.
Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.