Wakuu
Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa angalizo kama hawatashughulikia tatizo haraka wataufungia kwa muda mrefu. Hatua hii ni kama majibu kwa...
Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya.
Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho.
Siasa za kariakoo huwa...