Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua.
Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza changamoto hizi? Kule Singapore wana uwanja ambao paa lake linaweza kufungwa au kufunguka kulingana na...
Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
kukatika kwa umeme
kukatika umeme
lawama
meneja
mkapa
radhi
saba
serikali
tanesco
umeme
uwanjauwanjawamkapauwanjawa taifa
viongozi
wasimamishwa
watendaji
watumishi
yanga
Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona kama wako kwenye dimba la Kwa Mkapa! Kama kawaida, Kwa Mkaa hawatoki!!
Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile.
Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana (Chawa wa Mama) ni Mzigo na...
Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe
Ahmedy Ally kwenye...
Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja ili kuruhusu kufanyika kwa maboresho ya sehemu ya kuchezea (Pitch) ambayo imeharibika na kukosa...
Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini.
Camera kwa...
Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League
Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio...
Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012
“Elimu hiyo ameipata kwa Wachina na Wazungu kwa vitendo, tukiwa kwenye kazi ndipo tumejifunza hapohapo...
Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023.
Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa...
Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu.
AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo
Mchezo umeanza
5' Coastal wanaonekana kuwa makini
10' Kasi ya mchezo siyo kubwa
12' Matokeo bado ni 0-0
15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu
28'...
Salum mtumbuka,
Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo.
Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium.
au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
Full Time, Yanga inashinda 1-0.
Fei Toto anaipatia Yanga goli
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi
87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango
85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona
80'...
Ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki hapa Tanzania, kule Angola na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Mnyama mkali anashuka dimbani akiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini.
Anaenda kumaliza ngwe na kuingia hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa wa...
Timu zote zimeshaingia uwanjani.
Mchezo umeanza
01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa.
11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni
15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama
19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania.
Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.