Patashika ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) linapigwa leo Mei 1, 2021 kwenye Uwanja wa Mkapa, ambapo Mabingwa Watetezi, Simba SC wanakwaruzana na Kagera Sugar katika mchezo wa hatua ya 16 ya michuano hiyo.
Kwenye mchezo wa leo Mnyama Mkali Mwituni, Simba SC anapewa nafasi kubwa ya...