uwanja wa mpira dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma Waingia Hatua Mpya Kuelekea AFCON 2027

    Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na wakandarasi pamoja na wataalamu wa ujenzi. Mradi huu unahusisha ujenzi wa miundo mbinu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

    Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha. GENTAMYCINE naomba kujua ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…