Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma Waingia Hatua Mpya Kuelekea AFCON 2027

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na wakandarasi pamoja na wataalamu wa ujenzi.

Mradi huu unahusisha ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali ya msingi, ikiwa ni pamoja na uwekaji wa nguzo kuu za zege, kusuka vyuma, na kuweka majukwaa ya ngazi kwa ajili ya mashabiki.

Ujenzi huo unafanyika katika Makao Makuu ya Nchi, Dodoma, ukiendeshwa kwa kutumia mitambo mizito kama vile cranes na excavators pamoja na mifumo ya kisasa ya scaffolding na uwekezaji wa tabaka la kuzuia maji kwenye kuta za msingi.

Kazi hii inaendelea kwa kasi hivi sasa ikiwa ni maandalizi kabambe ya kuipokea na kuifanikisha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika za Mwaka 2027 (AFCON 2027).

Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na viwanja vyenye viwango vya kimataifa vinavyokidhi matrequirements ya CAF, huku ikishirikiana na Kenya na Uganda chini ya mpango wa "Pamoja AFCON 2027" kukuza michezo, utalii na uchumi wa nchi.

Soma zaidi kuhusu AFCON 2027
 
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia maporini.
 
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia porini.

Sasa kwenye ujenzi wa hizo shule cabinet ya juu wanapata kiasi gani ya gawio mpaka wahangaike nazo? Wanasiasa hawapotezi muda na lisilo na faida kwao.
 
Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na wakandarasi pamoja na wataalamu wa ujenzi.

Mradi huu unahusisha ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali ya msingi, ikiwa ni pamoja na uwekaji wa nguzo kuu za zege, kusuka vyuma, na kuweka majukwaa ya ngazi kwa ajili ya mashabiki.

Ujenzi huo unafanyika katika Makao Makuu ya Nchi, Dodoma, ukiendeshwa kwa kutumia mitambo mizito kama vile cranes na excavators pamoja na mifumo ya kisasa ya scaffolding na uwekezaji wa tabaka la kuzuia maji kwenye kuta za msingi.

Kazi hii inaendelea kwa kasi hivi sasa ikiwa ni maandalizi kabambe ya kuipokea na kuifanikisha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika za Mwaka 2027 (AFCON 2027).

Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na viwanja vyenye viwango vya kimataifa vinavyokidhi matrequirements ya CAF, huku ikishirikiana na Kenya na Uganda chini ya mpango wa "Pamoja AFCON 2027" kukuza michezo, utalii na uchumi wa nchi.

Soma zaidi kuhusu AFCON 2027
Ila mazingira ya dodoma ni mabaya kupita maelezo
Ebu angalia hayo mazingira yaliyozunguka huo uwanja yanatisha
 
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia porini.

Tatizo kubwa la nchi nyingi za kiafrika ni kushindwa ku focus na vipaumbele sahihi
 
Ila mazingira ya dodoma ni mabaya kupita maelezo
Ebu angalia hayo mazingira yaliyozunguka huo uwanja yanatisha
Asikidanganye mtu hakuna sehemu nzuri kama dodoma sababu huko hakuna mvua za mara kwa mara, leo shughuli nyingi hukwama wakati wa mvua dodoma ikinyesha wiki hii inapotea miez SITA, mkuu tukiipanga dodoma vizuri itakuwa bonge Moja la jiji la kisasa sababu ipo wazi haitaji gharama kusafisha vichaka kukata miti nk ni ujenzi unaanza Moja kwa Moja,

Tukiweka man made beach utashangaa watalii wa ndani na nje watavo miminika hapo kibao mkuu ni plan tu ndio bado tunajivuta.

Show ya miaka 30 ya bongo fleva walihudhuria watu wengi kuliko dar mpaka ukumbi ukavunjwa kupanuliwa sio mchezo
 
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia maporini.
Na ukitaka ukamatwe chap piga picha na post hayo magofu wakati ndio uhalisia ulivyo.😅😅😅 utasakwa kama muhujumu uchumi.
Ila shule nyingi za msingi kwenye nchi hii sio za kukarabati tena.
Ni za kuvunja na kujenga upya.
100% construction...
Ni nyufa tupu.
Kuta zilizooza.nk
 
Back
Top Bottom