MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
29 Septemba, 2026
YAH: GHARAMA YA MAEGESHO YA MAGARI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA)
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inapenda kuutaarifu Umma kuhusu gharama mpya za maegesho ya magari katika Kiwanja cha Ndege cha...
Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi hiyo David Maraga, amefanikiwa kutinga Kisutu.
Pia soma Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu...
Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria.
Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...