uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kylen stone

    Kati ya Mechanical na Electrical Engineering ipi ina uwanja mpana kwa ajira kwa sasa?

    Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
  2. M

    Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

    Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
  3. sky soldier

    Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  4. N

    RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside Pigo la pili ni yule...
  5. Venus Star

    Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

    Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro. Huu sasa ni uhuni.
  6. Artifact Collector

    Kilichofanyika Uwanja wa Manungu kule Mtibwa ni aibu kubwa sana

    Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana. Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia...
  7. Mwanakulipata

    Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

    Ndugu zangu mshawahi kujiuliza kwanini uchawi hautumiki kwenye uwanja wa medani (vitani), nadhani kuna vitu vingi tumeshuhudia vya kichawi ambavyo ki uhalisia au ki fikra za kawaida tu vinaweza kuwekwa kwenye vita na vikafanya kazi.. Lakini cha ajabu Uchawi hautumiki kabisaaa ani tena nasikia...
  8. John Haramba

    CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  9. K

    Vyoo vya Uwanja wa Ndege JNIA ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu

    Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two. Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu. Kwa kweli vyoo ni vichafu na...
  10. Analogia Malenga

    Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

    Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv. Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
  11. Nafaka

    Apple kawashinda Xiomk, Oppo na Vivo kwenye uwanja wa nyumbani

    Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China. Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu...
  12. John Haramba

    Uwanja wa Manungu ulivyo kabla ya Mtibwa Sugar Vs Yanga

    Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
  13. adriz

    Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  14. L

    Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana ka

    Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
  15. Tate Mkuu

    TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  16. Ghazwat

    Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  17. May Day

    Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  18. Teko Modise

    Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  19. Ferruccio Lamborghini

    Serikali kujenga uwanja wa ndege Manyara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwada wilayani Babati. Picha Mussa Juma Babati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itajenga uwanja wa ndege wa Mkoa wa Manyara ambao utasaidia kukuza sekta ya utalii. Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika...
  20. Suley2019

    Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

    Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama. Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya. Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
Back
Top Bottom