UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.
Msigwa...
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa...
Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!
Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium
Chini ya uongozi wake kwa mara ya kwanza nchi yetu itapeleka team
1.Wanaume afcon
2.Wanawake wafcon
3.Vijana under 20 afcon...
Kesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla.
Kiukweli umoja na mshikamano wa watanzania kesho ni muhimu sana kuliko wakati wowote ule, silaha zote kesho zihamishiwe...
naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard
Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo...
hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo yote ya wazi mnayatoa tu
ova
Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki.
Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.
Amesema...
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210
Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na...
Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo.
Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka.
Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane?
Tushike lipi sasa?
Tatizo...
Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa.
Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja...
Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa.
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa
CHAN 2024 QUALIFIERS
70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan
⚽️ Chrispine...
Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma.
Tukio hilo limefanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.