Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na...
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!
Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.
Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
Salaam,
Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo.
Walimu pekee ambao...
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.
Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani
Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani.
Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
Wakuu Leo naomba tupate elimu kidogo kwenye mada inayohusu nidhamu ya uongozi na wajibu.
Kwenye nchi zetu za Kiafrika viongozi huwa wanajisahau sana wanapofika kwenye nafasi za uongozi kutokana ulimbukeni wa madaraka na mali na kusahau jukumu la uongozi.
Kiongozi wa taifa inatakiwa afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.