uwekezaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka

    Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka. Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79. Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola...
  2. The Watchman

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  3. U

    Usipokuwa makini na Uwekezaji Tanzania tutakuwa manambana vibarua ndani ya nchi yetu.

    Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua. Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
  4. Mtanzania Tajiri

    Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

    == Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi kwenye Sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuchochea na kuleta mitaji, Ujuzi...
  5. Pascal Mayalla

    Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
  6. Dalton elijah

    Thamani ya Uwekezaji Tanzania Yafikia Dolla za Kimarekani Bilioni 1.6

    Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
  7. K

    Sababu ya wananchi kupinga uwekezaji ni usiri wa mikataba

    "Kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu,Kule Serengeti na kwingine kuna aina za madini zimegundulika. Lakini TANAPA waligoma kabisa yasichimbwe ili kutunza uhifadhi. Lakini nataka sasa yachimbwe. Simba na tembo hawali madini." Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania. Raisi tunaomba uelewe...
  8. Analogia Malenga

    Tanzania ya Tatu (3) barani Afrika kwa nchi zenye Fursa kwa Wawekezaji wa siku za usoni

    Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika. Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
Back
Top Bottom