𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗛𝗔𝗞𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗠𝗔𝗭𝗜𝗡𝗚𝗜𝗥𝗔 𝗥𝗔𝗙𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza.
Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezajiuwekezajitanzania
wote
Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania
Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania.
Kampuni hizo...
Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji.
Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka.
Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79.
Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira.
Amesisitiza hayo Februari 28...
Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua.
Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
==
Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi kwenye Sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuchochea na kuleta mitaji, Ujuzi...
Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
"Kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu,Kule Serengeti na kwingine kuna aina za madini zimegundulika. Lakini TANAPA waligoma kabisa yasichimbwe ili kutunza uhifadhi. Lakini nataka sasa yachimbwe. Simba na tembo hawali madini."
Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania.
Raisi tunaomba uelewe...
Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika.
Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
dar es salaam
fursa kwa wawekezaji
fursa uwekezajitanzania
fursa za uwekezaji
mazingira ya uwekezajiuwekezaji afrika
uwekezaji dar
uwekezajitanzania
wawekezaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.