uwekezaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awahakikishia Wawekezaji Mazingira rafiki ya Uwekezaji Tanzania

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔π—ͺπ—”π—›π—”π—žπ—œπ—žπ—œπ—¦π—›π—œπ—” π—ͺ𝗔π—ͺπ—˜π—žπ—˜π—­π—”π—π—œ π— π—”π—­π—œπ—‘π—šπ—œπ—₯𝗔 π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ 𝗬𝗔 𝗨π—ͺπ—˜π—žπ—˜π—­π—”π—π—œ π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awahakikishia wawekezaji mazingira rafiki ya uwekezaji Tanzania

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza. Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  5. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka

    Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka. Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79. Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola...
  7. JamiiForums Tanzania Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na Uwekezaji Tanzania tutakuwa manambana vibarua ndani ya nchi yetu.

    Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua. Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

    == Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi kwenye Sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuchochea na kuleta mitaji, Ujuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
  11. JamiiForums Tanzania Thamani ya Uwekezaji Tanzania Yafikia Dolla za Kimarekani Bilioni 1.6

    Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wananchi kupinga uwekezaji ni usiri wa mikataba

    "Kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu,Kule Serengeti na kwingine kuna aina za madini zimegundulika. Lakini TANAPA waligoma kabisa yasichimbwe ili kutunza uhifadhi. Lakini nataka sasa yachimbwe. Simba na tembo hawali madini." Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania. Raisi tunaomba uelewe...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Tatu (3) barani Afrika kwa nchi zenye Fursa kwa Wawekezaji wa siku za usoni

    Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika. Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…