uwekezaji wa viwanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanga Itaendelea Kuwa Eneo Lenye Mvuto Zaidi Kwa Uwekezaji wa Viwanda Vikubwa Vya Kusafisha Mafuta (Oil Refinery) Afrika Mashariki

    Tanga itaendelea kuwa moja ya maeneo yenye umuhimu mkubwa wa kimkakati kwa uwekezaji wa muda mrefu katika viwanda vya kusafisha mafuta, gesi, pamoja na maendeleo ya viwanda vinavyotokana na nishati ndani ya Afrika Mashariki. Hii hapa ni tathmini ya kwanini Tanga itaendelea kuwa chaguo pekee la...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mara auliza swali kuhusu uwekezaji wa viwanda

    MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali. Katika swali...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi.
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji

    Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo ======================== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Viwanda vipya vingi vinakaribia kuanza uzalishaji, Serikali itoe ushirikiano na kuvilinda

    Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji. Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force...
  6. Girland

    JamiiForums Tanzania Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

    Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira. Mfano...
  7. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania SGR na uwekezaji mkubwa wa viwanda Tabora, Dodoma, Singida, Morogoro, Shinyanga

    Napongeza uwekezaji mkubwa uliofanyika ktk ujenzi wa miundombinu yenye thamani kubwa ktk nchi. Serikali imetumia zaidi ya Tirioni 8 ktk ujenzi wa SGR..Kilichofanyika ni uwekezaji wa kihistoria ulifanikishwa kwa mapato ya ndani na mikopo ya fedha yenye riba nafuu na isiyo na riba nafuu.. Tuna...
Back
Top Bottom